Jifunze kuishi na watu wa aina zote

Ongeza nyama.

Maana sijaona sehemu uliyo andika jinsi ulivyo mtafuna teddy
 
Tulicho tegemea kusikia hatujasikia
 
Nishakua na ma ex wawili wenye jina la Teddy yani nikiliskiaga napata mafeelings balaa wanakuaga na kautulivu flani afu wanajielewa na watamu
 
Matarajio yetu na mategemeo yetu wengi hapa tulitegemea kusikia mahali ulimchakata teddy usiku kucha



Lakini kwa masikitiko makubwa Sana kwa sisi washiriki ,,MLIISHIA KUULIZWA KWA NN WAMETUACHA TUKAONDOKA , toka saa nane mpaka panakucha unaulizwa hilo swali
 
Kama katibu mkuu Toka kwenye mji mkuu wa tunda kimasihara namleta kwenu mleta mada mbele ya baraza kuu ili kujadili hatima yake juu ya hujuma alizotufanyia kwenye uzii huu ..ASANTENI...
 
Ni kweli ni vizuri kuishi na watu vizuri maana hakuna anayeijua kesho yake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatukulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…