Time Traveller
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 314
- 303
Wanaume wengi Mara nyingi huwa hawajali sana suala la kuhakikisha kile anavaa kinaendana. Unakuta mtu ananunua shati, tshit au suruali bila kuplan ataimatch na nini mwisho wa siku wengi hutokelezea vibaya.
Kwenye Kila rangi ya nguo ni muhimu kujua kuwa kuna rangi Fulani huenda, hivyo ni vyema kuzingatia hilo ili kupendeza.
Nimekutana ni hii video ikionesha picha mbalimbali za jinsi gani ya kumatch nguo kwa wanaume kuanzia casual ,suits, simple n.k. naamini unaweza kufaidika na kitu.