Jifunze kumechisha nguo

Time Traveller

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
314
Reaction score
303
Wanaume wengi Mara nyingi huwa hawajali sana suala la kuhakikisha kile anavaa kinaendana. Unakuta mtu ananunua shati, tshit au suruali bila kuplan ataimatch na nini mwisho wa siku wengi hutokelezea vibaya.

Kwenye Kila rangi ya nguo ni muhimu kujua kuwa kuna rangi Fulani huenda, hivyo ni vyema kuzingatia hilo ili kupendeza.

Nimekutana ni hii video ikionesha picha mbalimbali za jinsi gani ya kumatch nguo kwa wanaume kuanzia casual ,suits, simple n.k. naamini unaweza kufaidika na kitu.

 
ungeweka na picha kwa sisi tusio na mabando ya kucheki video ingefaa sana
 
Naomba ntumie hiyo video,mtoa maada[emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…