Jifunze kumiliki Kampuni kupitia Hisa

This is free lecture on how stock market is operating, you nailed and put the knowledge in a way that everyone can understand. Ubarikiwe sanaa mkuu
 
Kitu kimoja nahisi bado hujanifungua (hujaweka wazi), hizi hisa zinazalishwa vipi, nikimaanisha kampuni inazitoa au inazianzishaje hizi hisa hadi kufikia kipindi ikafikia kuziuza sokoni?

Kwa hili swali naomba nikuhakikishie kuwa hujaelewa mada nzima
 
Kwa hili swali naomba nikuhakikishie kuwa hujaelewa mada nzima
""Mfano- Kampuni yaweza kuwa na hisa 1000, ikaamua kuuza hisa 500 na hisa 500 zikabaki akiba."" kama utaipitia hii mada pale mwanzo kuna maneno haya, ndio maana sikuelewa. Kwani alisema hisa ni umili, sasa inakuwaje hiyo kampuni kwa mfano ikawa na hisa 1000 za kwake? Kwa sababu mimi nikinunua hisa 10 toka kampuni "xc", nitakuwa na hisa 10 toka kwenye hiyo kampuni. Na nikiwa na kamupuni yangu "zm" yenye hisa 10 zitajulikana ni hisa 10 toka kampuni "zm" na si zile 10 za kutoka kampuni "xc". Nadhani sasa nimejitahidi kadri ya uwezo wangu nilivyoielewa mada hii, swali langu ni kwamba mmiliki wa kampuni "zm" alizipataje hizo hisa 10 tofauti na zile alizozinunua toka kampuni "xc"?
 
Ni hatuazip na vigezo ktk kusajili kampuni kwenye dse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…