Jifunze kumpenda mwenza wako hata kama hakua chaguo lako la kwanza

Jifunze kumpenda mwenza wako hata kama hakua chaguo lako la kwanza

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,802
Reaction score
3,253
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania

Leo katika pita pita zangu nimeona niwaletee hii japo kuwa wapo ambao wstapinga.

Si kila mtu anapata bahati ya kuoa au kuolewa na mtu ambae alimpenda Mara kadhaa unajikuta kua mtu ambae ulimpenda kwa dhati alikuumiza Yeye alikua hakupendi hivyo ukaamua kuendelea na maisha yako na Sasa uko na mtu mwingine

Hii haimaanishi kwamba uache kufuràhia maisha na uanze kuishi maisha ya zamani KWA kuendelea kumfikiria mtu ambae una uhakika kua hamuwezi kua pamoja Tena

Hutakua wajitendea Haki au kumtendea Haki mwenza WAKO kama bado akili yako utaiweka kwa yule aliekutenda mlieachana kwa sababu yyte ile, jifunze KUMPENDA mtu ulienae Sasa hata Kama hakua chàguo lako la kwanza inawezekana hata weye hukua chàguo lake la kwanza lakini ndio imeshatokea hivyo wote mnatakiwa mjitahidi kupendana

Angalia mazur alionayo na angalia namna ambavyo mnaweza kuliimarisha penzi lenu kwanza kumfikiria wa awali unakua unapoteza muda tu na kujinyima fursa ya kujifunza na kufaid Mambo mazur kutoka kwa mtu wako mpya

Kumbuka kua kama ilishindikana kwa namna yoyote ile kuoana na mtu wa ndoto yako Basi jua kua hakua mtu sahihi kwako hakua ambaye ulipangiwa na Mola WAKO Kwani mipango ya Mungu kamwe haivurugwi na mwanaadam mfurahie ulienae .


Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Nishaanza kujifunza hilo. Girlfriend wangu nilimpenda kisa kanipenda yeye ila sasa naona akili yangu inamkubali kuliko yeyote niliyewahi kudate. Hata nikisema nioe sasa hivi option ninayo moja ni yeye, ila kurukaruka hata watano nikitaka wapo nawaona hata sasa
 
Nishaanza kujifunza hilo. Girlfriend wangu nilimpenda kisa kanipenda yeye ila sasa naona akili yangu inamkubali kuliko yeyote niliyewahi kudate. Hata nikisema nioe sasa hivi option ninayo moja ni yeye, ila kurukaruka hata watano nikitaka wapo nawaona hata sasa
Tangu nilipojua hii formula maisha yangu yamekuwa matamu sana

Kanuni yangu, Mpende anayekupenda
 
Back
Top Bottom