Jifunze Kupika au share Mapishi yako na App hii

Jifunze Kupika au share Mapishi yako na App hii

Sirbuni

Senior Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
103
Reaction score
33
Heshima kwenu brothers and sisters

Napenda kutambulisha kwenu app inayoitwa "Appetite" ambayo inakupa uwezo wa kuandika recipe zako (maelekezo ya mapishi) na kushare na watumiaji wengine wa app hii.
Kuna features nyingi ambazo tunaendelea kuongeza zitakazofanya app iwe na matumizi mengi zaidi ya hili la mapishi.

Kuipata Playstore, bonyeza kwenye hii link Appetite – Applications Android sur Google Play

Ningependa pia kupata maoni chanya kuhusu uboreshaji wa app hii.
Asanteni sana
 
Naweza nikapakua( download) chakula kupitia hiyo app?? [emoji125][emoji125]
 
Naona ni kitu kizuri ila kama vile ina zingua iviiii kupakulika
 
Back
Top Bottom