Jifunze kupunguza gharama za malisho ya mifugo

Jifunze kupunguza gharama za malisho ya mifugo

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Ni muda Sasa tangu nimeanza harakati za kufuatilia mbinu za kupunguza malisho ya mifugo. Kwa mengi niliyojifunza, machache nimewafunza wengine wengi. Machache hayo Ni:-
1. Hydroponics fodder
2. Uzalishaji wa azolla
3. Uandaaji wa silage (ki vunde)
4. Uzalishaji wa funza
5. Uzalishaji wa minyoo
6. Uzalishaji wa virutubisho vya mimea kwa njia ya asili.
Kwa wale wanaojiuliza Kama bado naendelea na shughuli hizi, Uzi huu Ni jibu tosha. Nilikuwepo, nipo na Mungu atanisimamia niendelee kuwafundisha wanaohitaji.
Karibu Sana, tujifunze kwa pamoja. Kama una swali uliza tu.
20210908_155007.jpg
IMG_20210912_105043_949.jpg
IMG_20210909_091004_HDR.jpg
IMG_20210622_160507_HDR.jpg
 
Back
Top Bottom