Jifunze kutamka vizuri maneno haya ya kiingereza!.

Ahsante brother, kwa siku ya leo nimejifunza kitu.
 
Kwa huo uchambuzi wa kamusi yanaonekana they have the same meaning. Kwa mfano kwenye hiyo picha ya meno uliyoiweka unaweza ukasema " someone's teeth looks impeccable badala ya flawless? Au Mimi nachanganya ma' file?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…