Jifunze kutamka vizuri maneno haya ya kiingereza!.

Nauliza kwa Kiingereza cha wapi? german, Swiss au uingereza tuanzie hapo
 


Asante sana kwa shule hii ya matamshi ndugu,lakini, kwenye ONION nina mashaka hapo. Ninadhani huwa hakuna sauti o hapo mwanzoni unapotamka badala yake huwa kuna sauti a. Hivyo kwa kutumia alama zisizo sahihi Mswahili inabidi walau atamke kitu kama hiki, anian. Hii ni kwa Marekani na UK. Angalizo: Kuna lahaja nyingi za Kiingireza, hivyo, hiyo hapo uliyotuma yaweza zimetoka huko na zikawa sahihi kwa huko. Shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…