Jifunze kwa awa vijana wa kiafrika ni matajiri wabunifu umri wao chini ya miaka 30

Dah...Mimi bado napigania milo mitatu kwa siku lakini bado inanitoa jasho wakati watu wengine wanaingiza billioni tatu kwa mwaka........haya maisha ukiyatafakari sana unaweza ukamtoa mtu kafara........some people are blessed..
..
 
Wote wanajaribu hapo.. kwa mwenye mda amtafute mtu anaitwa TAKUDZWA RAZOMBE huyu ni kijana mzimbabwe. Ukamgoogle ujionee mwenyewe... Among few people on earth to turn down employment offer from GOOGLE
 

Humu jamii forum si tupo zaidi ya hiyo milioni 1..,,
 
Watu wanaongelea waanzilishi wa makampuni yenye kazi tofauti, wewe unaongela "alipata madini". Wapi na wapi?

Billion 200 unazijuwa zilivyo au unajisemea tu?

Hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Wewe bibi muda mwingine uwa unanipa raha sana😀
 
Haya mambo ya kukopeshwa na mzazi ni sawa na aliyelisi mali kutoka kwa mzazi wote mmepata kilahisi, kwani mzazi akikupesha unaweka dhamana gani,mda wa kurudisha mkopo,riba? Mfano mo eti alipomaliza chuo babake alimkopesha mtaji! au watoto wa baharesa eti nao ni wakuigwa! Hawa wote wamerithi tu, wakuigwa hapo ni baba zao ambao walitafuta mtaji wenyewe na wakaweza kuwasomesha hao watoto hadi elim za juu.
 

Wangapi wamekopeshwa wamechemsha?? Kwanza Pesa pekee si mtaji tosha..Vijana walikuwa na mawazo kwanza...Wamehangaika kuyafanya mawazo yao yawe Pesa.
Mkuu jifunze kwa waliofanikiwa upate kitu...
 
Inafaa sana kwetu vijana kujifunza kutaka kwa hawa jamaa waliofanikiwa tusipotoshwe na haya maneno maneno ya wenye wivu huku. inaonesha wanaopinga wengi ni wivu coz wameshapita umri wa 50yrs na hawana chochote kulinganisha na hawa under 30
 
Laki si pesa sijui kanga moko ni matatizo!! Soma elewa mada sio unakurupuka tu ili mradi ubishane ushazoea kutetea uozo wa chama baasi
 
heee! me nmehama huko jukwaa la siasa na huku tena mnaleta siasa.? majangaaa! laki si pesa hatukutaki huku!!
 
mbona wauza dona hawapo kwenye listi wakuu...:A S wink:
 
Dah...Mimi bado napigania milo mitatu kwa siku lakini bado inanitoa jasho wakati watu wengine wanaingiza billioni tatu kwa mwaka........haya maisha ukiyatafakari sana unaweza ukamtoa mtu kafara........some people are blessed..
..
Hahaaaaaaa umeua mkuu
 
Naona baadhi ya watu wakiona jina la mchaga viroho huwa vinawauma sana,, hamuwawezi hawa jamaa,, wataendelea kuwa juu, so just join them... Period!!

We wachagu ni wa kawaida sanaaaa tena wako chini
 
mohamed dewji anamiliki kampuni ya familia yeye ni mtendaji mkuu tu mwenyekiti ni babake mzee ghulam dewji ni sawa na watoto wa bakresa
 
Hizo takwimu wanachukulia wapi hapa Songea kuna kijana mmoja ana miaka 19 alipata madini aina ya saphire yenye thamani ya bilioni 200

Huyu kijana inawezekana ana miliki hela. Lakini Forbes hawawezi kumtambua sababu hana investment yeyote ya maana. Utajiri ni investment ulizonazo ambazo zinadhalisha pesa. Inaonekana concept ya utajiri wengi hatuielewi
 
Kwa leo nimekupa like, huyo jamaa ni anakurupuka tu kama mtu aliyefumaniwa, kama hatumii kitu cha meru ni bahati sana:majani7:

Kakurupuka hasa. Yaani humu kwenye forum kuna vimeo ile mbaya
 

Sometime bora kukaa kimya. Maana unavyozidi kuongea unaonekana kimeo zaidi:heh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…