Jifunze lugha ya kichina - Darasa huru

Jifunze lugha ya kichina - Darasa huru

Qj_

Senior Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
157
Reaction score
153
Somo la kwanza.

(haya maneno mda mwingi tunayatumia unapokutana na mtu)

Hujambo
nĭ hăo 你好

Habari ya asubuhi
zăo shang hăo 早上好

Habari ya mchana
xià wŭ hăo 下午好

Habari ya jioni
wăn shàng hăo 晚上好

Usiku mwema
wăn shàng hăo 晚上好

Jina lako ni nani?
nĭ de míng zi shì shén me 你的名字是什么?

Jina langu ni ___
wǒ jiào _ 我叫_

Samahani, sijakusikia
duì bù qǐ ,wǒ méi tīng jiàn 对不起,我没听见

Unaishi wapi?
nǐ zhù zài nǎ lǐ ? 你住在哪里?

Unatoka wapi?
nĭ cóng nă lĭ lái 你从哪里来?

Habari gani?
nĭ hăo ma 你好吗?

Nzuri, asante
wŏ hĕn hăo xiè xie 我很好,谢谢

Na wewe?
nĭ ne 你呢?

Vizuri kukutana na wewe
hĕn gāo xìng jiàn dào nĭ 很高兴见到你

Vizuri kukuona
hĕn gāo xìng jiàn dào nĭ 很高兴见到你

Uwe na siku njema
zhù nĭ yú kuài 祝你愉快

Tutaonana baadaye
dāi huì jiàn 待会见

Tutaonana kesho
míng tiān jiàn 明天见

Kwaheri
zài jiàn 再见

kama una swali lolote kuhusiana na lugha
Au kama unataka kujifunza lugha ya kichina piga cm 0764531080/0718632536 tuma sms ya kawaida au WhatsApp

Frank,B.
tryphonefrank@gmail.com
0764531080/0718632536
mwalimu wa lugha ya kichina
 

Attachments

Kati ya kutamka na kuandika, mimi naona kuandika ndio mziki kwenye hii Lugha ya Coróna
Kuandika ni changamoto, lakini kama ukiweka mkazo kwenye kufanya mazoezi ya kuandika mara kwa mara unaweza kufanikiwa vizuri tu bila shida yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzoni kabisa mi ningependa kujifunza vokali na irabu za kichina

ᴱᵛⁱᵗᵉᶻ ˡᵉˢ ʳᵃˢˢᵉᵐᵇˡᵉᵐᵉⁿᵗˢ ⁱⁿᵘᵗⁱˡᵉˢ ᵉⁿ ᵒᵈʳᵉ ᵖᵒᵘʳ ᵃʳʳᵉᵗᵉʳ ˡᵃ ᵖʳᵒᵖᵃᵍᵃᵗⁱᵒⁿ ᵈᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ¹⁹
Lugha ya maadishi ya kichina wanatumia hanzi (汉子)kwasababu kwenye lugha ya kichina hatutumii alfabeti. Kwa kufuata mfumo wa kijifunza lugha ya kichina kwa wageni ‘’foreigner’’ inatakiwa ujue hanzi 300 kwa hatua ya chini (beginer level).

Hivyo kwa wale mnao taka kuanza kujifunza lugha ya kichina mnatakiwa mlifahamu hilo, kwenye kaundika hanzi kunachangamoto kubwa hivyo jitahidi uwe unafanya mazoezi ya kuandika mara kwa mara vinginevyo hutaweza kuandika Chinese character kwa ufasaha mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom