Lugha ya maadishi ya kichina wanatumia hanzi (汉子)kwasababu kwenye lugha ya kichina hatutumii alfabeti. Kwa kufuata mfumo wa kijifunza lugha ya kichina kwa wageni ‘’foreigner’’ inatakiwa ujue hanzi 300 kwa hatua ya chini (beginer level). Hivyo kwa wale mnao taka kuanza kujifunza lugha ya kichina mnatakiwa mlifahamu hilo, kwenye kaundika hanzi kunachangamoto kubwa hivyo jitahidi uwe unafanya mazoezi ya kuandika mara kwa mara vinginevyo hutaweza kuandika Chinese character kwa ufasaha mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwasiliane naweza nikawa nakufundisha online kwa bei nafuu.Nataka kujifunza hii lugha nipo Arusha wapi naweza pata darasa hasa la jioni
Weka bei mkuu,unalipa kwa awamu ngapiPia kwa wale wanaotaka kujifunza kichina au kikorea nina online class kwa bei nafuu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Somo la kwanza.
(haya maneno mda mwingi tunayatumia unapokutana na mtu)
Hujambo
nĭ hăo 你好
Habari ya asubuhi
zăo shang hăo 早上好
Habari ya mchana
xià wŭ hăo 下午好
Habari ya jioni
wăn shàng hăo 晚上好
Usiku mwema
wăn shàng hăo 晚上好
Jina lako ni nani?
nĭ de míng zi shì shén me 你的名字是什么?
Jina langu ni ___
wǒ jiào ___ 我叫___
Samahani, sijakusikia
duì bù qǐ ,wǒ méi tīng jiàn 对不起,我没听见
Unaishi wapi?
nǐ zhù zài nǎ lǐ ? 你住在哪里?
Unatoka wapi?
nĭ cóng nă lĭ lái 你从哪里来?
Habari gani?
nĭ hăo ma 你好吗?
Nzuri, asante
wŏ hĕn hăo xiè xie 我很好,谢谢
Na wewe?
nĭ ne 你呢?
Vizuri kukutana na wewe
hĕn gāo xìng jiàn dào nĭ 很高兴见到你
Vizuri kukuona
hĕn gāo xìng jiàn dào nĭ 很高兴见到你
Uwe na siku njema
zhù nĭ yú kuài 祝你愉快
Tutaonana baadaye
dāi huì jiàn 待会见
Tutaonana kesho
míng tiān jiàn 明天见
Kwaheri
zài jiàn 再见
kama una swali lolote kuhusiana na lugha yakichina piga cm 0764531080/0718632536 tuma sms ya kawaida au WhatsApp
Frank,B.
tryphonefrank@gmail.com
0764531080/0718632536
mwalimu wa lugha ya kichina
除了说“你叫什么名字?” 也会 “你的名字是什么?。所以 说 ”你叫什么名字 或者 你的名字是什么?“,都可以。Hapo kwenye Usiku mwema ina maanisha nini?? Kama ni Usiku mwema ya kumaanisha Good night ni vyema kusema Wan an.
Na hapo kwenye "Nide Mingzi shi shenme" tunasema "Ni jiao shenme mingzi"
Online aise sitakua serious hamna live sessions?!?Pia kwa wale wanaotaka kujifunza kichina au kikorea nina online class kwa bei nafuu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahahahahaaahaUzi mzuri huu...mi mpka saiv nishajua maneno mawil..
Jackie chan
Jet lee