Jifunze lugha za Kigeni

Jifunze lugha za Kigeni

Mimi nitafundisha Kireno (Portuguese)
 
Natafuta kichina naweza kichukua kwa siku 2?
 
fe63853e9d8a9b00d4b0e570e3da7f90.jpg
 
Nilidhani na kipyongyang pia kitakuwepo nije kuwa Ticha wao hapo,ila nafundisha private.누구세요
 
Tatizo la Wabongo huwa wanaficha gharama wakati ukimwambia mtu siku akija anakuwa kajipanga.

Hako katangazo naona kama kamekaa kiwizi wizi coz hakajaeleza muda wa kusoma, coz inachukua miezi mingapi, gharama zikoje n.k

Wao wanakimbilia kutoa namba ya simu eti upate maelezo kamili.

Biashara ya namna hiyo (kupigiana simu ndo uanze kunielewesha wakati ulitoa tangazo nusu) ilishapitwa na wakati.

Wakenya wao kila kitu kiko Open
 
Back
Top Bottom