Jifunze maneno mawili matatu ya kichaga

Kichaga cha wapi,kibosho rombo au machame?!!
 
Wafundiahe watu jinsi ya kuunga sentensi kwa nafsi ya kwanza...
mfano ukitaka kusema

1)ninaomba maji
2)nisubiri nakuja
3n.k
 
Kisewa/ghako/mbito÷Tako/matako.
Menya÷ya mwanaume
Mbulla/mbatu/kidocho÷ya kike
Lambaa/docha/semba/kapia÷kusex
 
Ya mwanaume nini na ya mwanamkw nini?
Jiongeze mkuuu kujua kiwakilishi cha mwanaume na kiwakilishi cha mwanamke.ukigundua ndio hivyo nilivyomaanisha kupunguza ukali wa maneno
 
kiswahili vipi? Ni lugha moja inayozungumzwa kote afrika mashariki na kati?
 
Naomba niandikie kwa whatsApp
Au yeyote anaejua kichaga aniandikie kwa 0763
 
Hakika asiekuwa na utamaduni ni mfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…