Jifunze mazoezi ya kuogelea kwa afya

mountain

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
757
Reaction score
311
Jifunze kuogelea, upunguze kitambi na mafuta yaliyozidi mwilini. Tengeneza tambo sita(six packs). Na upunguze hatari ya kupata maradhi kama saratani, kisukari,pamoja na tatizo la kuwa na uwezo mdogo wa kushiriki tendo la ndoa na magonjwa ya moyo.

Tunafundisha strokes(styles) zote kwa wanaoanza na wanaojua kuogelea kuanzia umri wa miezi 9 na kuendelea. Pia tunafanyisha mazoezi ya viungo kwa walioshauriwa na daktari.

Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia nambari; 0659 154 681.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…