Dkt Guston
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 105
- 119
JIFUNZE MBINU HII ITABADILISHA BIASHARA YAKO MAZIMA
Hata Kama umeshajiribu kila njia ya kuongeza Mauzo na umefeli...basi hiki unachoenda kukiona ndani ya sekunde 10 zijazo kitabadilisha kila kitu katika biashara yako
Ukweli ni kwamba[emoji1313]
Kuwashawishi watu Kununua bidhaa/huduma yako sio kazi ngumu kama Jinsi unavyoaminishwa...
Hasa hasa ukiwa unajua unachokifanya...
Na moja ya mbinu unayoweza kuitumia katika Ushawishi inaitwa...
“Cognitive Bias”...
Hasa hasa ile inayoitwa....
[emoji1313]“The Anchoring Bias”
Nina Uhakika kabisa mbinu hii sio ngeni kwako...
Yanawezekana umeshawahi Kuitumia Kuuza Bidhaa/huduma yako bila kujua au...
Umeshawahi Kununua Kitu kutokana na mbinu Hii...
Je mbinu hii ni ipi?...
Usijali naivunja vunja kwa
Ajili yako Hapa chini...
“The Anchoring Bias” —ni Pale Muuzaji anapoweka Bei mbili katika Bidhaa/huduma moja Kisha anaikata ile Bei Kubwa na anabaki na bei ya Kuuzia
Na inafanya kazi Kama uchawi kwasababu watu wanahisi tayari wameshapunguziwa Bei
Na Hii Hapa chini Ndio Siri ya mbinu hii Kufanya Kazi vizuri...
Inaonesha Utofauti uliopo kati ya Uthamani na Bei...
Uthamani—Ni Kile mteja anachokipata baada ya Kununua Bidhaa/huduma
Bei—Ni Kile Mteja anachokilipia
Kutokana na Uthamani sio bei
Na Uthamani lazima uwe ni Mkubwa Kuliko bei...
Na Hii Ndio Silaha ya Siri inayozifanya Kampuni Kubwa
Kuna Siri nyingine bab kubwa zaidi
Naenda kuitoboa ndani ya sekunde 5 zijazo...(Ndio itakayokuacha mdomo wazi)
Kwahiyo Unapouza Bidhaa/huduma yako hakikisha unatumia mbinu hii inayoitwa—“The Anchoring Bias”
Onesha Uthamani—$1,000
Onesha Bei—$300
Uthamani >Bei Na hiyo sio njia pekee ya Kutumia Cognitive Bias Kumshawishi mteja Kununua Bidhaa/huduma yako...
Lengo kuu la Kutumia “The Anchoring Bias” ni Kumuonesha mteja Kipande cha Taarifa ambacho kitamfanya afanye Maamuzi ya Kununua Bidhaa/huduma yako hapo hapo