Jifunze na Uanze kuwa Mjasiliamali Kwa njia Ya Internet

kelvin409

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
18
Reaction score
7
Ni kweli kuna tatizo la Ajira au kipato Nchini, kwetu Tanzania, Lakini kama unafahamu kiingereza cha kuandika,na una access ya Internet katika maisha yako ya kila siku,uwe umeajiriwa au hujaajiriwa,na upo makini katika maisha yako, unaweza ukajiunga na Wajasiliamali kutoka pande mbali mbali za dunia, ukajifunza namna ya kufanya biashara na kuongeza kipato kwa njia ya Internet.Kupata taharifa zaidi bonyeza Real Internet Income ,kujiunga ni bure.Hakikisha tu upo serious na unafahamu nini unahitaji katika maisha yako.Kila raheri!
 
Naomba ushuhuda, umeingiza kiasi gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…