Ni kwa wale wenye nia ya kununua online. Kama kuna masuala huyajui katika ununuaji kwa njia ya intaneti, nakualika tembelea web ifuatayo www.kalumbiloe.computer/fahamu
Kuna mada nyingi zitakazoweza kujibu maswali yako mengi kuhusiana na ununuaji bidhaa mtandaoni.