Jifunze namna ya kutumia Tsh 300,000 kama mtaji wa kufugia kuku

Mkuu ni kuku wa aina gani maana hao kuku 10 watage mayai 240 kwa mwezi ukimaanisha kila 1 atage wastani wa mayai 24 kwa mwezi?
 
Habari kwa MTU yeyote mwenye interest ya kufuga kuku Nina banda tegeta masaiti nakodisha,banda na vyombo vyangu vya kuku na machine ya kunyonyoa manyoa.mwenye interest ya kufuga kuku anakaribisha kuona.whatssap 0786057996 for pics and details zaidi.
 
Kuku hawa ni CHOTARA mkuu, hawa wana uwezo wa kutaga angalau yai moja kwa siku na matunzo yake sio magumu sana kama ilivyo kwa layers.
 


Nisamehewe.

Nime- subscribe huu uzi.

Wanaotumia simu natanguliza samahani nyingi.

Asante sana Kwa kunisameheni.
 
Japo, huu uzi ni sawa kabisa na " yale matamko ya Wanasiasa na baadhi ya viongozi hapo Tanzania wanaosema kuwa "graduates wakajiajiri"

Kawa hiyo, unahitaji mtu anayeenda kufuga atumie kanuni hii ya DR. JK aliyosema hivi " Akili za kuambiwa 'Changanya na Zako"

Kwa hiyo, hapa Kama mtu anahitaji kufuga anatakiwa ajiongeze.

Mfano, katika taaluma ya forensic science, unatakiwa kujiongeza Kwa kila jambo unalotafiti.

Mimi siyo mfugaji ila nahitaji kuelewa mawazo yenu hapo Tanzania, mnavyowaza kuhusu Ufugaji wa kuku (kienyeji / GMO's )
 
kama unachakuongeza au kuboresha itakuwa vyema
 
too theoretical! umejenga banda moja na hela imeisha, banda la vifaranga liko wapi? au utawalaza na mama zao? kuku wa kienyeji kutaga kwa kiwango cha 80%, we utapata nishani ya ufugaji bora.
Kuku wangu sijatumia gharama.
Kuku 3 waliaza kutagawakataga pamoja.
Pamoja na kwamba nilkula mayai 10 lkn walibaki na mayai 45 wakataka kutotoa ikabidi niwatenge ila ilikuwa shida sana.
Nikafanikiwa wawili wakalalia m1 ashatotoa vifaranga 17 kaacha mayai 4.
Hapa asubr mwingine atotoe. Hii njia ukiwa na subra unatusua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…