Jifunze njia pekee ya kupamabana na USALITI kwenye mahusiano

Mungu anilinde nisije saliti wala kusalitiwa.

Mke wangu sukuoa wa kutafutia Spare. Nilijipanga. Sikusukumwa wala kushawishiwa na external factors
 
nadhani njia nyingine Ni kujiamini wewe mwenyewe kwanza sababu kinachoumiza sio usaliti uliofanyiwa Bali Ni kule kumuamini mtu wako na kumuona Kama Malaika hawezi kukusaliti,, unachotakiwa ingia kwenye mapenzi furahia ila jiamini kua siku ukikutana na usaliti una uwezo wa kumuacha aende zake,,usipoteze muda kujiaminisha kua yeye Ni muaminifi kwako utapoteza nguvu na muda wako jijali na ujiamini wewe mwenyewe ni vipi utahandle situation ya kusalitiwa ikitokea,,,. iandae akili yako ikitokea hutokua in total shock na isipotokea No damage done.
 
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Ambacho sijawahi kukielewa kwenu ni hicho kipengele cha "necha yenu ni kuwa na wanawake wengi" kwahiyo michepuko ni halali yenu, hapo hapo huwa hamtaki wanawake wachepuke sasa hiyo necha yenu mnaikamilisha na wanaume wenzenu au???
 
Bora kumuacha aende zake maana jinsi tunavyojitahidi kuwa care na bado wengine wanamla kirahisi yaani tu.
 
Ambacho sijawahi kukielewa kwenu ni hicho kipengele cha "necha yenu ni kuwa na wanawake wengi" kwahiyo michepuko ni halali yenu, hapo hapo huwa hamtaki wanawake wachepuke sasa hiyo necha yenu mnaikamilisha na wanaume wenzenu au???
Necha ya mwanamke ninkuwa na mume mmoja ila mwanaume wake wengi sio mmoja
 
Ambacho sijawahi kukielewa kwenu ni hicho kipengele cha "necha yenu ni kuwa na wanawake wengi" kwahiyo michepuko ni halali yenu, hapo hapo huwa hamtaki wanawake wachepuke sasa hiyo necha yenu mnaikamilisha na wanaume wenzenu au???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] swali nzuri dea Eve, wakikujibu nitag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…