Jifunze TENSES hapa

ukitaka kumuuliza mtu wewe ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwenu hapo kwa english inakuaje?


Utauliza hivi; What order are you in family?, Na unaweza kujibu; I am first born, au I am fifth born etc, kulingana na nafasi yako ya kuzaliwa.
 
Mkuu mr teacher hebu tufundishe na jinsi ya kuunda sentensi kwa wepesi wakati wa kuzungumza

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari mkuu !

Haoa inabidi ujifunze sana phrases hii itakusaidia kuweza kuwa fasaha katika lugha hii.

Samahani nilitoka JF kwa muda kutokana na mambo fulani. Kwa sasa nimerudi tena naamini tutakuwa pamoja.

Insha Allah.
 
Safi sana mkuu.

Samahanini nilitoka JF kwa muda kutokana na mambo fulani, kwa sasa nimerudi tupo pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…