Jifunze TENSES hapa



Sasa jamani nimetoa zoezi mbona tunalipotezea?Hembu tusaidiane hapa

Au lipo nje ya mada nini?
 

Wewe jamaa kama una mke utakuwa unaishi naye kibishi sana, ningeelewa kama argument ingekuwa kati ya wanawake tu.

Ila you are unnecessary prolonging it.
 

1. a - F, b - T, c - F
2. a - F, b - T or F (it depends), c - T
3. a - F, b - T, c - F
4. a - F, b - T, c - NS
 
Mimi binafsi nilijaribu kufanya ila instruction imenichanganya maana maswali ni ya kuchagua halafu tena tuandike true or false nikahisi sijaelewa

Hapo umepewa sentensi 1 hadi 4. Kila sentensi imepewa ufafanuzi a,b na c. Kazi yako ni kulinganisha hizo a,b na c kama vinaendana na sentensi tajwa. Hivyo, utajibu hivi, kwa mfano.

1.a) False
b) True
c) Not sure

Kama bado hujaelewa niambie nijitahidi kueleza
 

1a) F
b) T
c) F

2a) F
b) T
c) N

3a) T
b) F
c) NS

4a) NS
b) T
c) F
 
Nakupongeza kwa somo lako aisee wengine tulikuwa tunahusudu Masomo ya Sayansi kuliko Lugha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahsante kwa elimu nzuri, natamani kumpata anayejua French na Italiano ili niweze kuimprove nisisahau


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sentence namba 1 sahihi yake ni we used to go to kigoma for an holday(sio for a holiday) kwa nlivyojifunza hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…