ElectronicSalim Member Joined Sep 3, 2011 Posts 48 Reaction score 17 Jul 8, 2014 #1 Habari, Hiyo document kwenye Attachment ni Term Pay au kwa lugha nyepesi reference ambayo unaweza kwenda kuona range ya mishara inalipwa na taasisi za serikali,mashirika binafsi n.k. Mafunzo mema.
Habari, Hiyo document kwenye Attachment ni Term Pay au kwa lugha nyepesi reference ambayo unaweza kwenda kuona range ya mishara inalipwa na taasisi za serikali,mashirika binafsi n.k. Mafunzo mema.
hitler2006 JF-Expert Member Joined Sep 1, 2014 Posts 489 Reaction score 454 Sep 2, 2014 #2 mkuu mbona haifunguki
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,431 Reaction score 4,925 Sep 2, 2014 #3 noted & file thanks mkuu
R rpg JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 3,620 Reaction score 1,478 Sep 2, 2014 #4 Thanks, lakini ni ya siku nyigi, tangu enzi za Mtasiwa na Blandina Nyoni wizara ya Afya!
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 312 Sep 8, 2014 #5 da document ndefu ila ngoja niipitie nione
Kind JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 247 Reaction score 40 Sep 8, 2014 #6 Tutumie doc mpya