Alifia uhamishoni huko saudi arabia.Je, kifo chake kilitokana na kuuwawa? Hebu nijulishe vizuri maana ya usemi uliotumia wa:"Alitawala kwa upanga na alikufa kwa upanga"Huyo alikuwa Dikteta kama madikteta wengine.
Alitawala kwa Upanga na alikufa kwa Upanga.Hiyo ndio sheria ya Madikteta wote duniani.
Alifia uhamishoni huko saudi arabia.Je, kifo chake kilitokana na kuuwawa? Hebu nijulishe vizuri maana ya usemi uliotumia wa:"Alitawala kwa upanga na alikufa kwa upanga"
[emoji23] [emoji23] unenikumbusha hii documentary nitaipitia yote tena.Huwa naangalia hii video hata Mara 3 kwa siku sipati jibu , naishia kupata wasiwasi maana siamini. Huyu jamaa alikua na maamuzi ya kijasirini hata kuamuru askari kuwapiga risasi wale wasio tii. speech yake IPO kikamanda kabisa. RIP idd amin Dada. Waganda hawata kusasahu japo hukuwa mwansiasa mzuri.
haaaaa, dictators hawana katiba.. wala sheria labda uvunje sheria yake[emoji23] [emoji23] unenikumbusha hii documentary nitaipitia yote tena.
Nacheka sana hapo anavyoelekeza namna ya kumshuhulikia spy atakayekamatwa akiwa anaspy.
Idd Amin Dada hili jamaa lilikuwa linafurahisha hapo kwa wazungu(watu weupe).
Ndio,Madikteta wamezisaidia nchi zao kupiga hatua sema uyu jamaa alikua hana elimu
MNA aminishwa tuu, alicho waibia walibya ni kikubwa kuliko alicho wafanyia, Libya ni nchi tajiri sana.Ndio,
Mfano mzuri ni Muammar Mohammed Abu Minyar Gaddafi aliwafanyia Libya vitu vingi vizuri,
Pia alikuwa Rafiki Mkubwa wa Idd Amin Dada.
Utajiri wa Libya una maana gani kwa Walibya hivi sasa ukilinganisha na wakati wa Ghadafi?? Hata kama aliwaibia, aliwalisha.MNA aminishwa tuu, alicho waibia walibya ni kikubwa kuliko alicho wafanyia, Libya ni nchi tajiri sana.
HAKUFA KWA UPANGA NI OWONGO TU!Alifia uhamishoni huko saudi arabia.Je, kifo chake kilitokana na kuuwawa? Hebu nijulishe vizuri maana ya usemi uliotumia wa:"Alitawala kwa upanga na alikufa kwa upanga"
Well saidUtajiri wa Libya una maana gani kwa Walibya hivi sasa ukilinganisha na wakati wa Ghadafi?? Hata kama aliwaibia, aliwalisha.