Jihadhari mwanamume kumnyonya mdomo mwanamke mwenye lipstick mdomoni ni hatari kiafya

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
KUMPIGA MWANAMKE MWENYE LIPSTIK NI HATARI KIAFYA.jpg
Ukimnyonya busu mwanamke akiwa amepaka Lipstick jiandae kuwa na tatizo la figo (disorder),

uvimbe kwenye mapafu na tumbo maana kwenye Lipstick kuna vyuma vya cadmium, aluminum, chromium n.k ambayo vina link na cancer na allergy kabisa
 
hii kwel kabsi ni hatari.
naomba kuuliza Herbalist Dr MziziMkavu hivi kuna tiba ya maradh ya kurithi? kwa mfano hawa unasikia ana sukari presha au siko seli ya kurithi je kuna namna mtu wa hv anaweza kutibiwa akapona kabisa na ili pia asije na yeye kurithisha kizaz chake?
 
Mkuu maradhi ya kurithi yanayo dawa zake tunaweka imani potofu kuwa hakuna tiba ya maradhi ya kurithi wakati kuna matibabu yake maradhi ya kurithi.
 
Back
Top Bottom