Jihadhari mwanamume kumnyonya mdomo mwanamke mwenye lipstick mdomoni ni hatari kiafya

hii kwel kabsi ni hatari.
naomba kuuliza Herbalist Dr MziziMkavu hivi kuna tiba ya maradh ya kurithi? kwa mfano hawa unasikia ana sukari presha au siko seli ya kurithi je kuna namna mtu wa hv anaweza kutibiwa akapona kabisa na ili pia asije na yeye kurithisha kizaz chake?
 
Mkuu maradhi ya kurithi yanayo dawa zake tunaweka imani potofu kuwa hakuna tiba ya maradhi ya kurithi wakati kuna matibabu yake maradhi ya kurithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…