jihadhari na huduma ya warembo hawa

Sioni ajabu ya hicho mtoa mada anachosema. Kushikwa au kutomaswa ni ishu ya kawaida. Ajabu ni huyo mteja

Noted Kingi, pamoja na kwamba huyo mteja inaonekana alikuwa dhaifu sana, cha kujiuliza ni kwamba ni nini lengo la yule binti kumtomasa yule jamaa kimahaba mamna ile, scrub inahusianaje na kutekenywa masikio kama sio visa tu vya huyo mdada.
 
Je ni kweli vilevile kuwa eti wakishahakikisha umeingia anga zao hao kina dada wanakusachi mifukoni (hasa mfuko wa shati). Hii inatokea baada ya ku scrubbing na kutumia steam kwa wingiiii.. Je massage kwa walio na uzoefu inakuwaje? Ni kina dada wanafanya vilevile?
 
 

M-bongoTz, kwa jiulize hawa madada wa sinza wanawatoa wapi?? kona bar, meeda?? au wapi??
But sio sinza tu kuna saloon nyingine ipo makonde karibia na Shamo, wadada wa pale wanafanya the same, this is very bad
 
hii ndio solution, sasa huduma utazipata home free of charge!

Mom there is nothing like freee lunch...mi huwa najua tu baada ya hapo what to expect,,,have to pay somehow....sasa usiniulize huwa nalipa nnπŸ™„
 
wangu nitamfanyia hizo manicure pedicure sijui scrub mwenyewe!!!! Mwe!!! saluni atakuwa anaziona paa!!
 

Mmh usiwe ukawa unamaanisha ile ya Pale Sinza Mori. Wale wadada ni balaa. Mimi rafiki yangu alinihadithia kuwa mume wake alikuwa anaenda pale kila wikend lakini alipopata story na kuamua kwenda pale na kuona style wanazopewa wanaume na wale wadada akaamua kuanzia siku hiyo mumewe anyoe saloon za kawaida za mtaani ili ile huduma ikiwezekana awe anatoa yeye tu.

Ladies!! Lets be serious with what we let our men do with themselves. Kutaka umodernity kutatuponza one of these days. Maana wakiwa bar ndo balaa, now kuna saloon (barber shop) and soon utasikia unaombwa na hubby kuwa anataka kufanyiwa full massage.

Wochout!!
 
Noted Kingi, pamoja na kwamba huyo mteja inaonekana alikuwa dhaifu sana, cha kujiuliza ni kwamba ni nini lengo la yule binti kumtomasa yule jamaa kimahaba mamna ile, scrub inahusianaje na kutekenywa masikio kama sio visa tu vya huyo mdada.

According to the real meaning maana ya kufanyiwa facial ni kurelax misuli yote ya sura (kitaalamu tunaiita stress points) sasa kwa wale waliosomea watajua kuwa masikio ni erogenous zones na huwa tunachunguza mtu anapokuja.

Wale wadada hawana elimu hii ya kuwa cartilage za masikio ni sexual zones kwa both male and females so wao wanafanya lakini hawajui wanalolisababisha kwa mwanaume.

I can assure you kama mwanaume humpi haki yake ya kutosha nyumbani na akapitia saloon kama ya Mori imekula kwako.

Ladies be warned.
 
Ati nini?

...kwenye 'UKIMWI' babu πŸ™

wangu nitamfanyia hizo manicure pedicure sijui scrub mwenyewe!!!! Mwe!!! saluni atakuwa anaziona paa!!

...ha ha ha, wivu utakuua wewe, 'kunguru hafugiki!'


...aaaaaaah, wacha wewe, wanajua sana tu ndio maana anatumia vidole vya mwisho 'kutekenyea' πŸ˜€
 
Pombe ya kunywea hom hainogi. Hata mkeo akinunua makokoro yote bado kuna vitu utavimis. Mbona wao hutekenywa miguu na wapaka rangi huko masaluni wanakokwenda? Basi na mume anunue mkoba wa rangi awe anampaka mkewe home
 
Chonde jamani waume zetu!! huko salon sasa tutakuwa tunawasindikiza.........
 




Kweli mwanaume ni kiumbe dhaifu yani hii tu jamaa kakoleaπŸ˜•πŸ˜•
 
Pombe ya kunywea hom hainogi. Hata mkeo akinunua makokoro yote bado kuna vitu utavimis. Mbona wao hutekenywa miguu na wapaka rangi huko masaluni wanakokwenda? Basi na mume anunue mkoba wa rangi awe anampaka mkewe home

Kumbe mnajua kuwa pombe za kunywea hom hazinogi, mbona nyie wake zenu kama wanakunywa huwa mnawashauri wanyee home labda kama unatoka naye? au kwa wamama zinanoga za nyumbani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…