Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,746 Mar 16, 2010 #41 Maria Roza said: View attachment 8825 Kweli mwanaume ni kiumbe dhaifu yani hii tu jamaa kakolea😕😕 Click to expand... Maria Roza taratibu, usije ukazua ugomvi humu jamvini. anaweza akawa mume wa mtu humu ndani
Maria Roza said: View attachment 8825 Kweli mwanaume ni kiumbe dhaifu yani hii tu jamaa kakolea😕😕 Click to expand... Maria Roza taratibu, usije ukazua ugomvi humu jamvini. anaweza akawa mume wa mtu humu ndani
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Mar 16, 2010 #42 Pretty said: ......Hizi barber shop za kisasa ni balaa tupu, ndio maana my hubby huwa namfanyia mwenyewe scrubbing. Click to expand... Hii scrubbing ndio nini na toka lini wanaume wameanza kufanyiwa hivyo?
Pretty said: ......Hizi barber shop za kisasa ni balaa tupu, ndio maana my hubby huwa namfanyia mwenyewe scrubbing. Click to expand... Hii scrubbing ndio nini na toka lini wanaume wameanza kufanyiwa hivyo?
Mwalimu JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 1,585 Reaction score 1,073 Mar 17, 2010 #43 Nyani Ngabu said: Hii scrubbing ndio nini na toka lini wanaume wameanza kufanyiwa hivyo? Click to expand... Imekuwapo muda mrefu sasa kwenye saluni za kiume, ni kusafishwa uso...
Nyani Ngabu said: Hii scrubbing ndio nini na toka lini wanaume wameanza kufanyiwa hivyo? Click to expand... Imekuwapo muda mrefu sasa kwenye saluni za kiume, ni kusafishwa uso...