Jihadhari na matapeli hawa wa Kupatana.com

huyo wa iringa niliona tangazo lake I phone six plus mpyaaa anauza laki 3 tu... nikacheka sana nikajua huyu mjanja mjanja

bei zake ni too good to be true.. ili watu wajae


 
Sijui why JF kuna too much negativity! Sijui ni kujua kwingi or what, no matter how the gud the topic is lkn lazma atoke Mr Negative jst from nowhere atibue! Watakuwa ndo wapigaji wenyewe hawa!
Thnks for the awareness
Karibu mkuu.
 
huyo wa iringa niliona tangazo lake I phone six plus mpyaaa anauza laki 3 tu... nikacheka sana nikajua huyu mjanja mjanja

bei zake ni too good to be true.. ili watu wajae
Mi napotezaga mda kuji fanya niko seriois kweli nataka bidhaa basi atakuambia niko haoa stendi namtumia mtu ila hapokei sim ukituna hela nakutumia [emoji23] [emoji23]
 
Maneno mazuri
 
AISEE..ila saivi kuna cyber crime act of 2015, View attachment 517450View attachment 517451.. watu kama hawa hawastaili kutoka ivi ivi ili iwe fundisho kwa wengine, umecillect enough evidences against him.
Ninaweza evidence za kutosha ila ili iwe kesi nadhani mpaka niwe victim kwamba nimeshatapeliwa ndo inakua kesi ambayo unakuta nimetapeliwa laki sita ila kwa nchi kama yetu kesi yaweza kwenye mwaka 2018 gharama unakuta umetumia kama laki tano hivi ingine. Sasa si bora niende kwa kalmanzila wa kitapeli na yeye nimpe 50000 anitapeli pia [emoji51]
 
Ukitaka kugundua kwa njia nyingine kama muuzaji yupo serious au ni tapeli mwambie akutumie picha more than one au picha iwe imekaa jinsi unavyotaka wewe,
kwamfano ungemwambia piga picha upande wa chini, pembeni kushoto au Mlango wa Disc ukiwa nje,

Ukiona anaanza leta sound jua kabisa ni mbabaishaji.
 
Samahani sijasema wewe upo ila kwa uwepo wako umenikumbusha kisa kingine. Kuna dada jana mtaani alikua analalamika njemba limemtapeli mgegedo [emoji23] [emoji3]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] uwepo wangu umekukumbushaje?,?
 
Heeee hvi inakuwaje ata mm kuna msg nilitumiwa hvohvo eti nafasi uliyoomba ya kijana wako jkt imepatikana nkakaa kimya wakatuma tena mara ya pili siku tofauti nkawambia umekosea no
 
Another good idea. Hizi mbinu tulikua tunatumia chuo wakati wa kuomba picha flani za ndugu zetu wakina dada. Basi akikutumia picha ambayo its too good to be true unamwambia weka pencil au rula karibu ndo upige picha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ingawa nimesoka haraka haraka kwa ajili ya kuwahi kufuturu ila nitarudi tena punde
 
Niliwahi kuibiwa Milioni Moja kupitia Jumia Market, toka hapo hizi biashara za mtandaoni sifanyi tena. Ht kwa bure tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…