Jihadhari na wanaume wa Kikongo/ Kizaire

kama huujui mkongojo just PM
 
huyo rafiki yako kazoea kuhonga wacha wamfilisi. Mwanamke utahongaje bhanaaa. . .
 
Messing up or dating a man who doesn't wanna work or doesn't wanna engage himself in any kind of income earning activity so that he can provide for his family or his woman is a recipe for a disaster.
 
Mi nawaza ni nyie tu hapa, shida ni kuwa mnashindwa kuonesha mapenzi kwa ma fie wenyu sasa akitokea mtu akafanya vile anamkoroga kabisa bibi yako, mwanamke anatakiwa kudeka bwana, sasa sie tunawalambula, tunawabeba, tunawatumikia vya kabambe mu kitanda, kwanini wasitupende?
we unaenda mukazi depuit asubuhi haumuiti bibi yako mu telephoni wala hautumi text, ukirudi magharibi hauoneshi mapenzi yoyote unafanya vya ukali tu, sie tunawananawisha bafuni, tunawalambula kila fasi
kazi yenu!
 
huyo rafiki yako kazoea kuhonga wacha wamfilisi. Mwanamke utahongaje bhanaaa. . .

nasikia wazaire wana dawa, hata kama hujawahi kuhonga kunakuwa na kitu ndani kinakusukuma uuze hata dhahabu zako umpe mzairwaa
 
Nasikia wana mauno balaa, mwanamke huna pilika unatulia tuliii jamaa wanashughulika, ukitaka kusikia story zao hawa tembelea salon za kinondoni yaani kule wanawake wamepinda kila mtu na mzaire wake
 
nasikia wazaire wana dawa, hata kama hujawahi kuhonga kunakuwa na kitu ndani kinakusukuma uuze hata dhahabu zako umpe mzairwaa
Mhh hakuna bwana ni hulka ya mtu tu, na mdada ,mwenye staha zake hawezi kabisa fanya upuuzi huo, kwani wengi wanaopenda kuhongwa ni wanamuziki tu hawa, sidhani kama mzaire wa kawaida mfanya biashara nae anataka kuhongwa
 
Nasikia wana mauno balaa, mwanamke huna pilika unatulia tuliii jamaa wanashughulika, ukitaka kusikia story zao hawa tembelea salon za kinondoni yaani kule wanawake wamepinda kila mtu na mzaire wake

kuna gono jipya limeoingia mjini, lapukutisha kinondoni, mwananyamala na magomeni, laitwa gono la zaire.
Halisikii cha rangi mbili wala penaduuu.
Mtajibeba
 
Nasikia wana mauno balaa, mwanamke huna pilika unatulia tuliii jamaa wanashughulika, ukitaka kusikia story zao hawa tembelea salon za kinondoni yaani kule wanawake wamepinda kila mtu na mzaire wake
You are too smart to say that!!
 
kuna gono jipya limeoingia mjini, lapukutisha kinondoni, mwananyamala na magomeni, laitwa gono la zaire.
Halisikii cha rangi mbili wala penaduuu.
Mtajibeba
Rafiki yako umemjulisha? fanya hima asiteketee, na ukimwi pia upo
 
Napesi nakolobate engai nayo nafasi ya Kinshasa sherii nangaii nalobi nayo nabiso nasalibiteko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…