Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Nov 11, 2011 #81 Hivi haya mambo ndio ilani yetu ya uchaguzi wa maisha yetu ya leo na yajayo?
HorsePower JF-Expert Member Joined Aug 22, 2008 Posts 3,612 Reaction score 2,567 Nov 11, 2011 #82 Kumpenda mtu mpaka uhonge? Ukiona mtu kakupenda baada ya kuhongwa ujue huyo hana mapenzi ya kweli. Ni sawa tu na hao wazaire wanaozungumziwa. Wadada kaeni chonjo mapenzi ya kulazimishana hayafai na hayana mwisho mzuri!
Kumpenda mtu mpaka uhonge? Ukiona mtu kakupenda baada ya kuhongwa ujue huyo hana mapenzi ya kweli. Ni sawa tu na hao wazaire wanaozungumziwa. Wadada kaeni chonjo mapenzi ya kulazimishana hayafai na hayana mwisho mzuri!
cheusimangala JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 2,585 Reaction score 498 Nov 12, 2011 #83 wazaire na vile wanavyojichubua hata yeye akiwa ndo tajiri simtaki,na waona kama wako kishoga zaidi.