Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
HABARI ZA LEO NDUGU ZANGU WATANZANIA NA WASIO WATANZANIA!
Leo kuna jambo la msingi sana naomba kushirikiana nayi, ni muhimu sana kama utazingatia.
Sio Tanzania tu, na sio Africa tu, ni dunia nzima, pamekuwa na tabia ya kusambaziana leaked pornographic videos, wengi wanaziita connections. Kwa wale wanaomhofu Mungu wamekuwa na maswali mengi, whether kuangalia connections ni dhambi au sio dhambi. Naomba soma ka makini yafuatayo, na chukua hatua.
1. Jitahidi sana, usiangalie porn yeyote, iwe ya kurushwa kama connection au ya kawaida. Ni machukizo kwa Mungu, kwa sababu yanachafua nafsi.
2. Miili yetu ni Hekalu la Mungu anayetakiwa kukaa ndani yetu, anakaa kwa nafsi ya Roho Mtakatifu, ukichafua hekalu, unamfukuza Mungu maishani mwako, hivyo utakuwa peke yako. I tell you, without God, your survival is decided by the devil, huu ndio ukweli. Bila Mungu wewe na mimi si kitu kabisa.
3. Siwezi kusema sijawahi kuangalia porn, nitakuwa mwongo, niliangalia sana, na nimefanya yote hayo, na hata baada ya kuokoka, nilikuwa mara kwa mara nadondokea kwenye porn zilizokuwa zinanipelekea kwenye uzinzi mkubwa sana. Kila nikisimama, shetani akinishindwa kote, alikuwa analeta porn, nikiiangalia tu, nafsi inachafuka, tamaa ya uzinzi inanivaa nazini mwezi mzima hadi nije nisimame tena imeshanigarimu.
4. Porn ni mojawapo ya “milango” ambayo shetani huwa anatumia kuingia kwa watu wale wanaomtumikia Mungu. Ninasema watu wale kwa sababu wewe kama haujaokoka, shetani anakumiliki, hana limitation, ila kama umeokoka shetani anakuwa nje yako, hayupo ndani yako, atakuja ndani yako ukimfungulia mlango, na mlango wenyewe ni “DHAMBI”, ukitenda dhambi tu au kuchafuka, shetani amepata nafasi kuingia kwako, ndio mlango.
5. Ni sawa na nnzi, popote penye uchafu (mavvi) hakosekani, ila pasafi hata akionekana ujue anapita tu hana chochote kinamhusu pale. Ukiokoka unampokea Mungu moyoni, hivyo unakuwa na moto, ukisonga ugali wa moto ukaupakua, hata uweke hapo nje nnzi hawezi kugusa wala mdudu, subiri upoe, watajaa. Mungu ni Moto, tena ni moto ulao, akiwa kwako una moto, ukijichafua tu unapoa na shetani anapata nafasi kuja kwako, sio rafiki yako, ni adui.
6. Shetani sio rafiki yako, never, ni adui. Yesu alisema katika Yohana 10:10, “mwivi haji ila kuua kuchinja na kuharibu, mimi nalikuja ili wawe na uzima kisha wawe nao tele”, kwahiyo shetani akiingia kwako kwa njia yeyote ile, jua hawezi kukuacha salama kwa namna yeyote ile. Mungu akusaidie.
7. Galatia 5:19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu. Ukisoma kwa kiingereza utaona “The acts of the flesh are obvious: sexual immorality, impurity and debauchery” , neno uchafu maana yake ni “IMPURITY”.
8. Kuangalia porn ni kuchafua hekalu la Mungu, na ni dhambi. Hiyo ndio inakufanya uwe impure. Hakuna aliyewahi kuangalia porn akamaliza asijilaumu, lazima nafsi itakusuta na kuona ulikuwa unaangalia kitu kichafu. Uchafu huo ni dhambi.
10. Sasa kwa connection moja tu, inasambaa dunia nzima, jua ni kazi ya shetani kuwawafanya watu dunia nzima wachafuke.
11. NINI CHA KUFANYA” Neno la Mungu linasema, tunatakiwa kuwa na kiasi, maana ya kiasi sio kwamba ni kufanya mambo ya kiasi au machache, ni KUWA MAKINI kwa kila unachofanya. Kiasi maana yake ni ‘SELF CONTROL”. Mungu hawezi kukulazimisha usiangalie connections, atakachofanya tu ni kukuhukumu moyoni kwamba unachotaka kufanya sicho, uamuzi ni wako, sas apale wewe ndio unatakiwa kuwa na self control, ujicontrol mwenyewe kwa kuukimbia uovu, kwa gharama yeyote ile kwa sababu inakufanya uchafuke na kuwa mdhambi mbele za Mungu, pia ni mlango shetani anaingia kwako nakukuletea madhara eg. Shetani akiingia anaharibu apendavyo, magonjwa, na kila kitu kibaya unachokijua anaweza kuleta.
OLE WAKO WEWE UNAYEPIGA PICHA HIZO, NA WEWE UNAYEPOKEA NA KUSAMBAZA, dhambi za hao unaowasambazia una kikombe chake cha kukinywea mbele za Mungu.
HERI KUWA MIKONONI MWA MUNGU, KULIKO KUWA MBALI NA MUNGU.