Jihadharini na connection za ngono zinazorushwa

Ni Ngumu Mno Kuepuka kuangalia conection, maana ni za moto, kama za mr Engonga unaambiwa zipo 400 kuna mpaka mke wa mchungaji kapekewa moto
 
Wewe unatakiwa kupuuzwa tu basi.
Hata ukinipuuza utakuwa hujathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.

Ukinipuuza bila kuthibitisha Mungu yupo, ni kwa sababu huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
 
utakuwa kichaa na dini yako yakitumwa fala wewe.

toa upumbavu wako.

Muslim pia ni vichaa wengi sana
 
Ahsante sana kwa mada nzuri hii. Ubarikiwe sana
 
Kwakua Mungu wetu ni mwenye kurehemu hakika ntaungama na kujuta dhambi ili anisamehe.
 
Kwakua Mungu wetu ni mwenye kurehemu hakika ntaungama na kujuta dhambi ili anisamehe.
ni kweli, ukiungama Mungu atakusamehe, ila kama unatubu kwa kumaanisha kuacha dhambi, sio kumchezea tu Mungu, Neema ya Mungu iliyopo sio tiketi ya kutenda dhambi, mshahara wa dhambi upo palepale, na kutubu ni neema, wapo wanaokufa hata nafasi ya kutubu hawajapata, Mungu akusaidie usiwe mmoja wapo. wahi mapema, chukua hatua. Mungu akubariki.
 
Upuuzi mtupu. Kuna dhambi gani kuangalia ufundi?

Kakobe mwenyewe aliangalia connection ya Gwajiboy na kutoa maoni yake kanisani kwa Gwajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…