Jihadharini na utapeli wa hiki chuo wanajiita Tanzania Institute of Project Management, Serikali ichunguze hiki chuo

goldcall

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
416
Reaction score
567
Kichwa chajieleza,

HiKi chuo niliwai ku-apply postgraduate course, lakini katika kufatilia nikagundua wanatoa course ambazo hazijasajiliwa na NACTE wala TCU, nikajaribu kupeleleza kwa mmoja wa staff wao ambaye naye alionyesha kuto rithika na huduma za hapo TPIM kumbe wana madudu mengi, ambayo serikali haijayaona.

Kuweni makini na hivi vyuo vya uchochoroni
 
asante mkuu mm pia nilitaman nijiunge nacho aise kumbe wa hovyo
 

Ridhika /rithika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…