Jiji Gumu kama Dar kuna watu wanaishi kwa mshahara wa laki 1 na elfu tu kwa mwezi

Jiji Gumu kama Dar kuna watu wanaishi kwa mshahara wa laki 1 na elfu tu kwa mwezi

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Dar ni ngumu sana, Mnawezaje kuishi kwa elfu 4 kwa siku mkiwa na familia?

Kuanzia kodi, nauli, kula kutwa mara 3, kuugua na kuuguliwa, mambo ya shule n.k

Gharama zote hizi mtu anaziweza kwa 120,000?
 
Niliingia huo mziki hapo mwenge kampuni ya matank ya kiboko mbona nilikimbia miez miwili tu , kazi ngumu mshahara wa elf-5 kwa siku hapo bado nauli juu yako kula Kwa koponi chakula hakilizishi, kila siku ugali maharage ijumaa ndio mnakula wali- ilikuwa nomaa Na kazi mpaka upate lazima uonge pesa, wadada wanachezea sana Kwa maajent ili wapate kazi, hatari

Nilipiga miezi yangu miwili tu nikarudi mishe mishe zangu kariakoo

Watanzania tunaburuzwa sanaa na wahindi/wazungu yaani inshort wageni, wanatunyayasa sanaa, serikali isipopitia hivyo viwanda vizur tutaendelea kuteseka na tupo kwetu maana hakuna haki kabsa

Humo watu wamechoka kinoma, usiwe mtu wa mbususu utakufa maana mademu wanechoka hatari watu wanapokezana tu Na unaambiwa maboss pia wameruka nao yaani kama kijiwe cha ngono niliambiwa kabsa mademu wanaohisiwe wana ngoma

Mlipaji mishahara alikuwa SHOGA- sijui kama bado yupo mpaka sasa hivi ila anazinga la bodi jitu la mazoezi alaf shoga
 
Mjini shule, kaa nao karibu wakueleze
 
Back
Top Bottom