Inavyoonyesha jitihada za makusudi za viongozi wa Mkoa na wananchi wa Mkoa wa arusha za kuipandisha timu ya arusha united icheze ligi kuu zimegonga mwamba Kwa sababu zilizotolewa .,..... Binafsi nimeshangaa Sana kushindwa kwao pamoja na utajiri wa wananchi wa Mkoa huo kukosa au kushindwa kuwa na timu ni aibu .... Mkoa kwenye sifa zote kuwa Jirani na nchi Jirani .... Utalii .... Madini ... Chakula na uufugaji inakuwaje kukosa fursa ya timu ya ligi kuu ... Hebu jipangeni na kuhakikisha mwakani mnakuwepo