Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Huku mikoani ni rahisi sana kufumaniana kwa mlio kwenye ndoa au mahusiano sababu ya ufinyu wa maeneo mfano gest, bar, sehemu za starehe nk.
Mikoani ukichepuka eneo uliopo ni rahisi kujulikana ukilinganisha Dar yaani umechepukia Kimara Bonyokwa wewe unakaa Buza Kilakala.
Yaani tuliopo mkoani tunapata tabu sana na umri wangu mimi mtu mzima wote nimejitunza mpaka Ulaya jana nimekwosa kufamaniwa na mke wangu jiji la Mwanza.
Sababu ya ufinyu wa maeneo ya kujivinjari unakuta gari langu wanalifahamu.