Jiji la Dar es Salaam lashinda tuzo ya usafirishaji bora duniani

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Jiji la Dar es Salaam limeibuka mshindi wa 28 wa tuzo za msafirishaji bora duniani, huku ikiwa nchi pekee kutoka Afrika kushinda tuzo hiyo.

Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird ameyasema hayo leo (Jumapili) wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa upanuzi wa lango kuu la Bandari ya Dar es Salaam.

“Nikupe hongera wewe Mheshimiwa Rais na serikali yako, kwa sababu jiji la Dar es Salaam limeteuliwa kuwa mshndi wa 28 wa tuzo ya msafirishaji wa dunia,” amesema Bella. “Ushindi huo ni kupitia mradi wa UDA-RT (mabasi ya mwendo wa haraka), kwa hiyo napenda nikupongeze katika hilo,” amesema Bella.

Bella pia amepongeza jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali katikia kuboresha miundombinu na huduma za usafiri nchini na kuahidi kuwa benki hiyo itaendelea kushirikiana na serikali kuendelea kuboresha miundombinu na huduma mbalimbali.

Jiji la Dar es Salaam lashinda tuzo ya usafirishaji bora duniani

Watani zetu Dar inakimbia siyo mchezo.
 
Wow..

Acha na sisi tushinde kwenye vitu vya maana
 
Nmeona wameongeza buses za mwendo kasi...kwani zimekuja lini hizi
 
watakuja kupinga[emoji23][emoji23]
kuna watu mpaka napata mashaka na utaifa wao, maana ni kupinga mwanzo mwisho
 
Because of BRT? Acha Dar ipate magari kama Nairobi then come and compare notes. LRT is the way to go
The report from World bank, is not from kenya news rooms.
 
The report from World bank, is not from kenya news rooms.
We have learnt to distrust World Bank 70% of the time here. Get me right, i never disparaged what you have there but it would break my heart if Kenyans took the Dar example and tried implementing it here.
 
Iyo news ya last week unaona Leo...congrats sisi awards tumezoea kwanza za innovation
 
We have learnt to distrust World Bank 70% of the time here. Get me right, i never disparaged what you have there but it would break my heart if Kenyans took the Dar example and tried implementing it here.
Okay which report do you trust, by the way
 
Daah huko kwenye nchi zingine hali ikoje kama Dar ndo kinara Afrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…