Jiji la mahaba Tanga

Jiji la mahaba Tanga

kinguhj

Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
49
Reaction score
129
Nimekumegea sehemu ndogo ya jiji la Tanga na madhari yake.

Karibuni waja leo,kuondoka majaliwa.
1725385502218.jpg
 
Majina ya mitaa kwa namba. Nimebahatika kufika Tanga mara mbili, ila kili nilipokuwa nikifika hapo ilinilazimu kuondoka. Hapakunivutia kabisa.
 
Tanga sijui siku hizi La Casa Chica bado ipo na vichangu vyake vya bei poa maana wa kule Chuda baa za Wachgga nilianziwa 60000 wakati kule La Casa Chica 15000.
Tuelezeni wazinzi machimbo mengine tukija kuvinjari Jiji lenu.
 
Back
Top Bottom