Vmatongo
Senior Member
- Dec 8, 2021
- 158
- 240
Nani atalitendea haki jiji hili ambalo kila siku linarudi nyuma badala ya kwenda mbele, wananchi wa jiji hili waliamini kwamba kumchagua Tulia kungeleta nafuu barabara zingejengwa ikiwepo hii barabara kubwa ya kuelekea Tunduma lakini wapi hali inazidi kuwa mbaya sana!
Kitu ambacho kinashangaza Tulia Aksoni hata yeye hajui afanye nini ametulia kama jina lake lilivyo anawaza uchaguzi tu lakini jiji linazidi kudorola.
Pale uhindini toka palivyoungua kile kisoko mpaka leo zaidi ya miaka 15 halmashauri ya jiji haijui ifanye nini!
Maji bado ni mgogoro mkubwa.
Bara bara zipo zinajifia.
Ajali hadi wananchi wameamua kutumia ushirikina kupunguza ajali
Tulia usiishie kugawa bajaji tatua changamoto zilizopo hapo Mbeya mjini.