kingunge wa jf
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 464
- 447
Wakati mitihani ya midterm ikiendelea walimu wengi wameonekana wapo kwenye ukumbi wa jiji wakiwa wameitwa kuhakiki madai yao. Idadi ya walimu ni kubwa. Almost kama wote wameondoka vituoni wapo ofisi za jiji la Mwanza.
Taarifa za walimu wengi hazionekani japo walikuwa wamejaza vendor form.
Imagine zaidi ya walimu 2,000 wapo jiji. Kazi haziendi tena vituoni. Je kuna haja gani ya walimu wote kwenda jiji badala watumishi wanaohusika kuenda vituoni...