Masalu Jacob JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 1,446 Reaction score 1,645 Oct 1, 2025 Thread starter #21 Beira Boy said: YESU KRISTO alimwambia mama yao na akina yakobo kuwa Mama unaomba usichokijua ndo wewe sasa unaomba mateso ya wana kimara Click to expand... Mambo ya Dar sisi hayatuhusu; wao wataomba utatuzi wa changamoto zao na sisi tunaomba utatuzi wa mambo yetu.
Beira Boy said: YESU KRISTO alimwambia mama yao na akina yakobo kuwa Mama unaomba usichokijua ndo wewe sasa unaomba mateso ya wana kimara Click to expand... Mambo ya Dar sisi hayatuhusu; wao wataomba utatuzi wa changamoto zao na sisi tunaomba utatuzi wa mambo yetu.
Masalu Jacob JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 1,446 Reaction score 1,645 Oct 1, 2025 Thread starter #22 makaveli10 said: Mmeona ya wenzenu dar? 😄 Click to expand... Ukumbuke Msiba wa jirani hauna maumivu. Sisi watu wa Mwanza tunaomba jamani Mwendokasi mpya....
makaveli10 said: Mmeona ya wenzenu dar? 😄 Click to expand... Ukumbuke Msiba wa jirani hauna maumivu. Sisi watu wa Mwanza tunaomba jamani Mwendokasi mpya....
Masalu Jacob JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 1,446 Reaction score 1,645 Oct 1, 2025 Thread starter #23 mkata uzi said: Jiji lililo linalopakana na ziwa lakini hadi leo huduma za maji ni kitendawili Maji ni uhai, mengine yatafuata Click to expand... Tuletee basi Mh. Maji tusiwe watu wa maji kukatika na shida za hapa na pale.
mkata uzi said: Jiji lililo linalopakana na ziwa lakini hadi leo huduma za maji ni kitendawili Maji ni uhai, mengine yatafuata Click to expand... Tuletee basi Mh. Maji tusiwe watu wa maji kukatika na shida za hapa na pale.
Masalu Jacob JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 1,446 Reaction score 1,645 Oct 1, 2025 Thread starter #24 Sa 7 mchana said: Sio dharau mwanza mimi ni hometown. jiji la dar linazaidi ya wakazi 5 million mwanza jiji hawazidi laki 4½ Click to expand... Huijui Mwanza. Kuwa mkazi wa Mwanza usipende kutoa takwimu za kupika. Ukiwatoa Dar kwa wingi wa watu wafuatao ni sisi. Tupende basi watu wa Mwanza.
Sa 7 mchana said: Sio dharau mwanza mimi ni hometown. jiji la dar linazaidi ya wakazi 5 million mwanza jiji hawazidi laki 4½ Click to expand... Huijui Mwanza. Kuwa mkazi wa Mwanza usipende kutoa takwimu za kupika. Ukiwatoa Dar kwa wingi wa watu wafuatao ni sisi. Tupende basi watu wa Mwanza.