DEGESWASWA
Member
- Apr 12, 2019
- 86
- 93
Salaam...................
Natumai mu wazima wa afya na mnaendelea na mishe mishe za kusaka mpunga kila penye fursa za kuikamata mbesa, dhumuni kubwa la uzi huu ni kutaka kufahamu fursa za biashara zilizopo jiji la Nairobi
Kama nilivyo anza kwa kudokeza kidogo hapo juu, Mimi ni mfanya biashara ninaye angazia kuisaka pesa nje na nchi hii, hivyo basi nimekuwa nikiandika nyuzi mbalimbali zinazo husiana na fursa za biashara zilizopo around toka nchi jirani tunazo pakana nazo Nia kubwa ni kutengeneza mtonyo
Leo nimewiwa kushare na nyie ili nipate kitu chochote toka kwenu juu ya viatu vya mtumba grade one huko Nairobi kwa niliwahi sikia kuwa ipo sehemu huko Nairobi ni center kubwa Sana shinda hata K/koo kwa biashara za vitu vingi na Bei ni poa Sana kwa jumla
Kwa yeyote mwenye kufahamu hili soko na hiyo biashara ya viatu vya mtumba grade one aniambie hapa
1- Bei wanazo jumua hivyo viatu
2- Transportation cost and all requirements
3- Faida na vitu vingine vingi tu Kama tips towards doing any thing
FUNGUKA HAPA