Jiji la Nairobi ni dogo sana ukilinganisha Dar es Salaam lenye ukubwa mara tatu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Nairob ukubwa wake ni 696 km² lenye idadi ya watu kupitia 2022 wakazi 5,119,000.

Dar es Salaam ukubwa wake 1,590 km² lenye watu kupitia 2022 wakazi 7,405,000.

Ila cha kushangaza Wakenya wanatumia mda mwingi kuitangaza nchi yao africa mashariki kila jambo huku sisi tukibaki kushangalia CCM ndio chama kikongwe Africa.

Kila kitu wenzetu wanawekewa rekodi baada kuona majiji makubwa na nairob nikaikuta wakati sio.
 
Nimependa hapo mwishoni kwamba tunabaki kushangilia CCM kwamba ndio chama kikongwe Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nairobi imeizidi Dar kwa maghorofa...nimetembelea Dar na Nairo!
Ila maghorofa siku hizi sio ishu mbona nchi nchi nyingi za ulaya tumewazidi maghorofa wao wanatuzidi makazi bora na ndio jambo la msingi
 
Nairob ukubwa wake ni 696 km² lenye idadi ya watu kupitia 2022 wakazi 5,119,000.

Dar es Salaam ukubwa wake 1,590 km² lenye watu kupitia 2022 wakazi 7,405,000...
Hizo takwimu za watu mil 7 umezitoa wapi wakati takwimu za sensa 2022 dar ni mil 5 na points
 
Nairob ukubwa wake ni 696 km² lenye idadi ya watu kupitia 2022 wakazi 5,119,000.

Dar es Salaam ukubwa wake 1,590 km² lenye watu kupitia 2022 wakazi 7,405,000.

Ila cha kushangaza Wakenya wanatumia mda mwingi kuitangaza nchi yao africa mashariki kila jambo huku sisi tukibaki kushangalia CCM ndio chama kikongwe Africa.

Kila kitu wenzetu wanawekewa rekodi baada kuona majiji makubwa na nairob nikaikuta wakati sio.

Wewe ni mgeni hapa?
We had this discussion and you lost.

Ukubwa kwa map haimanishi ukubwa wa infrastructure, buildings, ama development.
Hizo unazotaja ni administrative boundaries. 90% of Dar's 1590 Km ni vumbi tu na empty spaces.

Explains why Dar is also "larger" than New York City on paper.

Manhattan alone is 30 times smaller than Dar, but it contains more skyscrapers, KM of tarmac and economic activity than the entire country of Tanzania.

nyc.JPG
 
View attachment 2508033

Unaelewa maana ya ukubwa ijalishi kuna kibera
 
Back
Top Bottom