Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ukiulizwa ukubwa wa eneo lako ni kiwanja au shamba utajibu nini!Nairobi imeizidi Dar kwa maghorofa...nimetembelea Dar na Nairo!
Akikujibu nitag mkuu😂Ukiulizwa ukubwa wa eneo lako ni kiwanja au shamba utajibu nini!
Ila maghorofa siku hizi sio ishu mbona nchi nchi nyingi za ulaya tumewazidi maghorofa wao wanatuzidi makazi bora na ndio jambo la msingiNairobi imeizidi Dar kwa maghorofa...nimetembelea Dar na Nairo!
Yes Nairobi ni jiji Dar ni mji tuNairobi imeizidi Dar kwa maghorofa...nimetembelea Dar na Nairo!
Hizo takwimu za watu mil 7 umezitoa wapi wakati takwimu za sensa 2022 dar ni mil 5 na pointsNairob ukubwa wake ni 696 km² lenye idadi ya watu kupitia 2022 wakazi 5,119,000.
Dar es Salaam ukubwa wake 1,590 km² lenye watu kupitia 2022 wakazi 7,405,000...
Hizo takwimu za watu mil 7 umezitoa wapi wakati takwimu za sensa 2022 dar ni mil 5 na points
Nairob ukubwa wake ni 696 km² lenye idadi ya watu kupitia 2022 wakazi 5,119,000.
Dar es Salaam ukubwa wake 1,590 km² lenye watu kupitia 2022 wakazi 7,405,000.
Ila cha kushangaza Wakenya wanatumia mda mwingi kuitangaza nchi yao africa mashariki kila jambo huku sisi tukibaki kushangalia CCM ndio chama kikongwe Africa.
Kila kitu wenzetu wanawekewa rekodi baada kuona majiji makubwa na nairob nikaikuta wakati sio.
Wewe ni mgeni hapa?
We had this discussion and you lost.
Ukubwa kwa map haimanishi ukubwa wa infrastructure, buildings, ama development.
Hizo unazotaja ni administrative boundaries. 90% of Dar's 1590 Km ni vumbi tu na empty spaces.
Explains why Dar is also "larger" than New York City on paper.
Manhattan alone is 30 times smaller than Dar, but it contains more skyscrapers, KM of tarmac and economic activity than the entire country of Tanzania.
View attachment 2508033