haina kwere mkuu... mimi nadhani tunaweza kupunguza idadi ya viongozi na tukafanya vizuri zaidi, tena tungeanza na wakuu wa mikoa... they are not importantohh! sorry.Lakini hii ndio lifestlye yetu ya kujibu kwa maswali.No wonder jiji linanuka kwa ajili hii.
But am sore nilivosoma post yako i though you know much than me kuhusu madaraka ya ukuu wa mkoa wa Dar.Na ndio maana nikataka kukudadisi ili unifafanulie.
Ila mimi nijuavyo Mkuu wa mkoa ana mamlaka juu ya wakuu wa wilaya na anaweza kuwatuma akiwa pamoja na meya.
sore again for disturbance.
It begins with you! stop blaming Lukuvi. kila mtu akiplay part yake jiji liatakuwa safi period!
ohh! sorry.Lakini hii ndio lifestlye yetu ya kujibu kwa maswali.No wonder jiji linanuka kwa ajili hii.
But am sore nilivosoma post yako i though you know much than me kuhusu madaraka ya ukuu wa mkoa wa Dar.Na ndio maana nikataka kukudadisi ili unifafanulie.
Ila mimi nijuavyo Mkuu wa mkoa ana mamlaka juu ya wakuu wa wilaya na anaweza kuwatuma akiwa pamoja na meya.
sore again for disturbance.
Nakubaliana na wewe na ninapinga vilevile.Kwani maana hasa ya dhaman ya uongozi ni kitu gani? na sheria zimewekwa ili iweje? zivunjwe? There must be someone with AUTHORITY to held others accountable.It begins with you! stop blaming Lukuvi. kila mtu akiplay part yake jiji liatakuwa safi period!
asante Kaizer kwa kuiweka vizuri... that been said, do we need wakuu wa wilaya na mikoa wakati tuna wabunge nao ni wa kisiasa na madiwani pia wa kisiasa?Shemeji, wakuu wa mikoa na wilaya wao wako katika mfumo wa kisiasa, wa kiutawala to be precise, kwa hiyo wanakuwa chini ya Rais au tuseme wanamwakilisha Rais kama mtawala.
kwa upande wa mameya, wale wapo chini ya decentralisation, kwa hiyo tunapozungumzia serikali za mitaa, mameya ndo wapo kule. Tukiongea suala la kila mtu kuwa na madaraka hapo ndo mkanganyiko kwa sababu kwa upande mmoja meya yupo serikali 'nyingine' na mkuu wa wilaya/mkoa wapo kwingine. Kimsingi wakurugenzi wa manispaa ndo watekelezaji wa programu mbali mbali na ndo wenye mafungu ya pesa. watawala hawana hela za kihivyo kwa sababu hawana miradi ya maendelea ya kutekeleza.
That said, inatakiwa coordination ya hali ya juu kati ya mihimili hii miwili, na unaposikia wanajamvi wanalalamikia kuwa hata system iliyopo ni ngumu/mbaya., mojawapo ni hili
Unajua wabongo tuna matatizo, ni sisi sisi tunaolalamika ndo utatukuta tuko kwenye magari tunatuoa chupa za maji kwa kupitia madirishani, ndo sisi sisi tunaotupa makaratasi ya big G, pipi, na ndo sisi tunaotumia mifuko ya plastic na kuitupa ovyo, ni sisi sisi tunaokojoa hovyo mitaani na kwenye kuta, ndo sisi ambao tukiwa na magari yetu barabarani tunatanua na kusababisha jam, yani ni kama sisi ni wendawazimu, hatuna utaratibu hata kidogo, hata watoto wetu hatuwafundishi hizi manners matokeao yake kizazi hata kizazi tunarithi uchafu. mi natamani kuona watanzania tukibadilika.nakupa kumi kabisa... lakini pia yeye mweupe mazee
Shemeji, wakuu wa mikoa na wilaya wao wako katika mfumo wa kisiasa, wa kiutawala to be precise, kwa hiyo wanakuwa chini ya Rais au tuseme wanamwakilisha Rais kama mtawala.
kwa upande wa mameya, wale wapo chini ya decentralisation, kwa hiyo tunapozungumzia serikali za mitaa, mameya ndo wapo kule. Tukiongea suala la kila mtu kuwa na madaraka hapo ndo mkanganyiko kwa sababu kwa upande mmoja meya yupo serikali 'nyingine' na mkuu wa wilaya/mkoa wapo kwingine. Kimsingi wakurugenzi wa manispaa ndo watekelezaji wa programu mbali mbali na ndo wenye mafungu ya pesa. watawala hawana hela za kihivyo kwa sababu hawana miradi ya maendelea ya kutekeleza
That said, inatakiwa coordination ya hali ya juu kati ya mihimili hii miwili, na unaposikia wanajamvi wanalalamikia kuwa hata system iliyopo ni ngumu/mbaya., mojawapo ni hili
Unajua wabongo tuna matatizo, ni sisi sisi tunaolalamika ndo utatukuta tuko kwenye magari tunatuoa chupa za maji kwa kupitia madirishani, ndo sisi sisi tunaotupa makaratasi ya big G, pipi, na ndo sisi tunaotumia mifuko ya plastic na kuitupa ovyo, ni sisi sisi tunaokojoa hovyo mitaani na kwenye kuta, ndo sisi ambao tukiwa na magari yetu barabarani tunatanua na kusababisha jam, yani ni kama sisi ni wendawazimu, hatuna utaratibu hata kidogo, hata watoto wetu hatuwafundishi hizi manners matokeao yake kizazi hata kizazi tunarithi uchafu. mi natamani kuona watanzania tukibadilika.
Nimekuelewa.Lakin hawa wakurugenzi wa manispaa wanaokalia mafungu hadi jiji linanuka wapo chini ya nani? meya au mkuu wa mkoa?
Hta wewe Charity unaweza kuanzisha hiyo campeni ya kuchange hii mentality ya wabongo. For example jipangie siku uwe unapita mashuleni, hata shule za msingi ukatoe awareness hii, nennda vyuoni, nenda makanisani, nenda kwenye makusanyiko popote uombe dakika kumi tu, you will be doing something useful which in the long run would prove that we can, hata kama lukuvi and whoever else didnt try. It takes time, yes, but Rome wasnt built over nite, with time we will be there, where we want.Nakubaliana na wewe na ninapinga vilevile.Kwani maana hasa ya dhaman ya uongozi ni kitu gani? na sheria zimewekwa ili iweje? zivunjwe? There must be someone with AUTHORITY to held others accountable.
Kwa jiji la Dar utegemee muujiza eti kila mtu abadili tabia ni ngumu.Labda ianze kampeni ya ku-create awareness na kutoa elimu,but the question is who will initiate the move?
Jibu langu bado linakuja Mkuu wa mkoa (kama ni Lukvi au nani sijui)is responsible
na ndio maana lawama tunamtupia kwani yeye ndio baba wa nyumba/familia(ya Jiji)
Hta wewe Charity unaweza kuanzisha hiyo campeni ya kuchange hii mentality ya wabongo. For example jipangie siku uwe unapita mashuleni, hata shule za msingi ukatoe awareness hii, nennda vyuoni, nenda makanisani, nenda kwenye makusanyiko popote uombe dakika kumi tu, you will be doing something useful which in the long run would prove that we can, hata kama lukuvi and whoever else didnt try. It takes time, yes, but Rome wasnt built over nite, with time we will be there, where we want.
asante Kaizer kwa kuiweka vizuri... that been said, do we need wakuu wa wilaya na mikoa wakati tuna wabunge nao ni wa kisiasa na madiwani pia wa kisiasa?
hamuoni ni namna ya chama tawala kuongeza muscles ili kuweka base za kibabe mikoani?
Nimekuelewa.Lakin hawa wakurugenzi wa manispaa wanaokalia mafungu hadi jiji linanuka wapo chini ya nani? meya au mkuu wa mkoa?
Senks.Ni masuala ya kuwa mabadiliko individually.Charity nimependa hiyo signature asante!
Shemeji,
wakurugenzi wapo chini ya ofisi ya waziri mkuu. (ironically, wanateuliwa na Rais). wao ni WATENDAJI. kama kuna watu wa kuwajibishwa, wanaanza kuulizwa wa manake ndo wenye mafungu..kwenye halmashauri zote nchi hii,
Meya yeye ni kiongozi wa madiwani, ni mwanasiasa vile vile! ila kwa upande wa serikali za mitaa. Mkuu wa mkoa yupo serikali kuu kama MTAWALA wa mkoa kwa NIABA ya Rais...
sasa mkanganyiko huo ndo wakati mwingine unaleta matatizo kiutendaji manake kila mtu anataka kujiona mkubwa.
mkurugenza anweza kupanga hiki, mkuu wa mkoa akamwambia hiki, huku meya naye akisema kuwa 'manispaa yangu' inataka hiki..mtu unabaki dilemma
ikumbukwe kuwa wakati wa Keenja, jiji lote lilikuwa halmashauri moja lakini siku hizi wamesplit zikawa tatu na bado hakuna ufanisi sana sana ni kuongezeka kwa ukiritimba