INAUZWA Jijini Mwanza: Mfalme zuma anauza pikipiki yake King Lion 1,800,000

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Pikipiki ni King Lion
Cc 150 Gia 5
ametembea mwaka mmoja
Hana shida yoyote njoo na hela yako tu

Engine nzima kabisa

1,800,000

Nipo Nae machinjioni hapa

0713096076

Number C unasema imetumika mwaka mmoja kiongozi?, kwa sasa tuko E. Hiyo bei ni ngumu kupata mteja huku JF labda FB. Samahani kwa kukukwaza ila pikipiki hiyo ina zaidi ya miaka miwili.
 
Umesoma kadi yake ama unaongea tu mkuu?

halafu mkuu hebu tuoneshe hio pikipiki yenye usajili wa E😅😅😅
 
Number C unasema imetumika mwaka mmoja kiongozi?, kwa sasa tuko E. Hiyo bei ni ngumu kupata mteja huku JF labda FB. Samahani kwa kukukwaza ila pikipiki hiyo ina zaidi ya miaka miwili.
Pikipiki namba D bado hazijatoka

Ova
 
Bila Upako wa Mfalme Zuma hiyo pikipiki haitoki kwa hiyo bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…