SawaVideo queen aliyepata umaarufu kupitia wimbo wa nuh mziwanda "Jike shupa' kupelekea mashabiki kumpachika jina Hilo.Siku ya Jana alifuniwa na Mume wa mtu, Mume huyo akajitetea eti alienda kwa Jike shupa kununua lotion wakati Jike shupa kakutwa akiwa amevaa khanga moja.Baada ya muda mfupi mke wa huyo Mume akaanza kupigana na Jike shupa.Tukio Hili limetrending Sana kupitia video clip mtandaoni.
unamaana gani kusema mme wa mtu?Amna mme wa mtu wote wadangaji tuuVideo queen aliyepata umaarufu kupitia wimbo wa nuh mziwanda "Jike shupa' kupelekea mashabiki kumpachika jina Hilo.Siku ya Jana alifuniwa na Mume wa mtu.
Mume huyo akajitetea eti alienda kwa Jike shupa kununua lotion wakati Jike shupa kakutwa akiwa amevaa khanga moja.
Baada ya muda mfupi mke wa huyo Mume akaanza kupigana na Jike shupa.Tukio Hili limetrending Sana kupitia video clip mtandaoni.
hata screen shot ya hiyo video ?? picha ni muhimu kuliko hizo storVideo queen aliyepata umaarufu kupitia wimbo wa nuh mziwanda "Jike shupa' kupelekea mashabiki kumpachika jina Hilo.Siku ya Jana alifuniwa na Mume wa mtu.