Jikinge dhidi ya kikohozi, magonjwa ya mapafu na mafua

Status
Not open for further replies.

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411


Epuka moshi kutoka kwenye moto wa kupika kwasababu una vitu vidogo ndani yake ambayo vinaweza kuingia kwenye mapafu na kusababisha ugonjwa

Epuka moshi huo kwa kupikia nje au mahali penye hewa safi ambayo moshi unaweza kuingia na kutoka


Kuna aina ya viini vinavyoitwa bakteria na vingine vinavyoitwa virusi. Virusi husababisha kikohozi na mafua na vinaweza kuuawa kwa kutumia dawa.

Hivyo ukiathiriwa na bakteria au virusi katika mfumo wako wa upumuaji tafadhali nenda kamuone Daktari



Komesha kikohozi, mafua na magonjwa mengine kutoenea kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine.

Ili kufanikisha hilo hakikisha mikono na vyombo vya chakula na maji ni safi, tumia karatasi maalum au kitambaa safi wakati unakohoa
 
Ahsante sana mkuu Kurzwel

Nje ya mada ni kwamba hiyo DP yako huwa inanikwaza sana
 
Asante Mkuu.
Lakini kazi kweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…