J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Feb 22, 2021 #1 Safisha kwa kupaka Sanitaiza maeneo ambayo hushikwa mara kwa mara ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza kama Korona. Maeneo hayo ni pamoja na meza, vitasa vya mlango, swichi ya umeme, madawati, simu, kicharazio cha kompyuta (keyboard), vyoo, koki ya bomba, na sinki Upvote 1
Safisha kwa kupaka Sanitaiza maeneo ambayo hushikwa mara kwa mara ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza kama Korona. Maeneo hayo ni pamoja na meza, vitasa vya mlango, swichi ya umeme, madawati, simu, kicharazio cha kompyuta (keyboard), vyoo, koki ya bomba, na sinki